Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Hivi unajua Kapeace mwanamke anayezaa hadi 12 by avarage anachakatwa kila siku za wiki na za mwezi ispokuwa siku za period tu.Kwa bibi zetu iliwezekana hakukuwa na uzazi wa mpango, umri wa kuolewa ilikuwa 15-20, kama hamna matatizo ya uzazi hiyo ni idadi ya kawaida kabisa,
Bibi zenu wamevumilia mengi
Say Goodbye mfumo dume umenyanyasa sana wanawake.