Nawezaje kuachana na mwenza wa miaka mingi tuliyezaa watoto 5 pamoja?

Kwa bibi zetu iliwezekana hakukuwa na uzazi wa mpango, umri wa kuolewa ilikuwa 15-20, kama hamna matatizo ya uzazi hiyo ni idadi ya kawaida kabisa,
Hivi unajua Kapeace mwanamke anayezaa hadi 12 by avarage anachakatwa kila siku za wiki na za mwezi ispokuwa siku za period tu.

Bibi zenu wamevumilia mengi

Say Goodbye mfumo dume umenyanyasa sana wanawake.
 
Daa imeniuma kweli kweli, wazaI wengi hawana hela au wamepinda kimaisha sio kwa sababu hawakuwa na fursa ya kuwa na maisha bora bali walihendekeza starehe na ujana.

Sasa wanalauma watoto hawawasaidii. Imagine kama huyu alikuwa na kipato kizuri lakini anaishi kama chokoraa?
Kwa sasa aliotukimbia ndio tunao msitiri amalizie siku zake, Ila anajuta Sana na ni kulia Kama mtoto… toba Kila siku… tabu Tupu… ukienda kumsalimia anakuambia, utakuja lini tena, niletee hiki na hiki… Halafu Yule second wife hana Tena msaada maana maokoto hakuna Tena… dingi nyumbani harudi maana tayari siku zimwishie na ikiwa atarudi ugomvi na mama utaanza Tena… taabu Tupu… yaani naomba tu Mungu afanye kazi yake haraka huyu dingi akapumzike…
 
Hivi unajua Kapeace mwanamke anayezaa hadi 12 by avarage anachakatwa kila siku za wiki na za mwezi ispokuwa siku za period tu.

Bibi zenu wamevumilia mengi

Say Goodbye mfumo dume umenyanyasa sana wanawake.
Uzazi hauhusiani kabisa na mfumo dume, isingekuwa uzazi wa mpango mbona hata nyakati hizi tungezaa wa kutosha tu, kuna wanawake wamejaaliwa akitoka kujifungua tu baada ya miezi 2-3 akikutana na Mzee mimba imo,
 
Kwa sasa aliotukimbia ndio tunao msitiri amalizie siku zake, Ila anajuta Sana na ni kulia Kama mtoto… toba Kila siku… tabu Tupu… ukienda kumsalimia anakuambia, utakuja lini tena, niletee hiki na hiki… Halafu Yule second wife hana Tena msaada maana maokoto hakuna Tena… dingi nyumbani harudi maana tayari siku zimwishie na ikiwa atarudi ugomvi na mama utaanza Tena… taabu Tupu… yaani naomba tu Mungu afanye kazi yake haraka huyu dingi akapumzike…
Afadhali mmeshamsamehe mengine watajuana na Mungu wake.
Amekula ujana vizuri( kwa mujibu wake) amemaliza vibaya sana.

Mpeni mnachojaliwa lakini ameutumia muda wake aliopewa na Mungu vibaya sana.

Mission Uncomplished.
 
Uzazi hauhusiani kabisa na mfumo dume, isingekuwa uzazi wa mpango mbona hata nyakati hizi tungezaa wa kutosha tu, kuna wanawake wamejaaliwa akitoka kujifungua tu baada ya miezi 2-3 akikutana na Mzee mimba imo,
Huo ni Ukatiri kumtia mtu mimba ndio kwanza ametoka operation hata miezi sita bado.

Ni matokeo ya watu kuwaza sana ngono kuliko mambo mengine.

Unachakata mtu kila siku kila wiki mwaka hadi mwaka huo ni ukatiri hakuna mapenzi hapo.
 
Kwa sasa aliotukimbia ndio tunao msitiri amalizie siku zake, Ila anajuta Sana na ni kulia Kama mtoto… toba Kila siku… tabu Tupu… ukienda kumsalimia anakuambia, utakuja lini tena, niletee hiki na hiki… Halafu Yule second wife hana Tena msaada maana maokoto hakuna Tena… dingi nyumbani harudi maana tayari siku zimwishie na ikiwa atarudi ugomvi na mama utaanza Tena… taabu Tupu… yaani naomba tu Mungu afanye kazi yake haraka huyu dingi akapumzike…
Hadithi yako makosa yalikuwa kwa mzee wako ndo maana anajutia sana, lakini umefikiria km makosa yapo kwa mwanamke mwanaume afanyeje? Historia hazifanani wewe una ya kwako mimi nina ya kwangu na yule ana ya kwake,

Kuliko kuishi pasipo mapenzi bora waachane kuliko watoto kushuhudia vita humo ndani itawaathiri zaidi ya unavyofikiria au matukio ya kuuana hamyasikii na kuyaona!!! Wazazi wanatukanana, wanapigana na kuuana mbele ya watoto hiyo ni mbaya mbaya zaidi
 
Hata wazazi wanaotukanana ni matokeo ya kulelewa vibaya hasa single parents.
Mwanamke niliyemtongoza nikawa namwita Pisi kali na pesa nikawa namuhonga......namchakata vizuri utamu hadi kwenye Medula Oblangata inakuwaje leo ananishinda eti namwacha?
 
Huo ni Ukatiri kumtia mtu mimba ndio kwanza ametoka operation hata miezi sita bado.

Ni matokeo ya watu kuwaza sana ngono kuliko mambo mengine.

Unachakata mtu kila siku kila wiki mwaka hadi mwaka huo ni ukatiri hakuna mapenzi hapo.
Miaka hiyo hakukuwa na operation, halafu usichojua tukitoka uzazi down huwa panawasha flani hivi ndo hapo sasa mimba inapopitia, hili ni somo pana sana, na enzi hizo jamii ilimthamini mwanamke mwenye uzao wa kutosha tofauti na saiv mnawasimanga,
 
Nadhani Kama mmeona kuachana ndo Hatua nzuri zaidi Kwa mlipifikia basi ni vyema mkaachana Kwa amani.

Lazima muandae mpango mzuri wa namna ya kulea hao watoto wenu pasipo kuwaumiza. Mnaweza kukubaliana watoto waishi Kwa Nani, ratiba za kuwaona, gharama za mahitaji muhimu ya afya,elimu,chakula na malazi vizingatiwe.

Binafsi naunga mkono nyie kuachana, kuliko kuishi na mtu ambaye Hauna Imani nae Wala upendo nae Tena.

Zaidi ni kumuomba Tu Mungu uwe na mwanzo mzuri wa kuishi maisha mapya.
hapa kwenye kuandaa mpango wa malezi panahitaji umakini sana maana kuna baadhi ya wanawake wanapatumia kama fimbo ya kuchapia wanaume kwa kisingizio cha matunzo.
 
Miaka hiyo hakukuwa na operation, halafu usichojua tukitoka uzazi down huwa panawasha flani hivi ndo hapo sasa mimba inapopitia, hili ni somo pana sana, na enzi hizo jamii ilimthamini mwanamke mwenye uzao wa kutosha tofauti na saiv mnawasimanga,
Hahaha sawa Jirani. Niko huku mitaani kwako kama hutojali nikusalimie.
 
Hata wazazi wanaotukanana ni matokeo ya kulelewa vibaya hasa single parents.
Mwanamke niliyemtongoza nikawa namwita Pisi kali na pesa nikawa namuhonga......namchakata vizuri utamu hadi kwenye Medula Oblangata inakuwaje leo ananishinda eti namwacha?
Umemfunania au kwenye watoto wenu 3 wawili au mmoja umepigwa,, huyo hawezi kukushinda? Bush dokta bado hujakutana na changamoto nyingi nyingi, jamaa kasema wameshafikia pa kuachana tumsaidie namna ya kuweza kusonga mbele hasa malezi ya watoto
 
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.

Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.

**Sitaki ushauri wa kurudiana maana maamuzi ya kuachana tayari yameshafanyika.
Jifunze domarnt zone relationships (uhusiano mfu),mmezaa toto tano ni ngumu kuishi kama hamjuani!!

Tafuta mwingine anaeleweka na yeye atapata mbaki mlee vijana,taratibu kila mmoja atamsahau mwenzake japo mtakua mnakutana!!
 
Umemfunania au kwenye watoto wenu 3 wawili au mmoja umepigwa,, huyo hawezi kukushinda? Bush dokta bado hujakutana na changamoto nyingi nyingi, jamaa kasema wameshafikia pa kuachana tumsaidie namna ya kuweza kusonga mbele hasa malezi ya watoto
Yaani linapofika swala la kuachana ukiwa na watoto na mmeshapiga hatua za kifamilia there is no Option that will favour you.

Kila unaloamua lina hasara kwako.
 
Hahaha....hii ndio inaitwa kuishi na Mchawi ukiwa unamjua
Jifunze domarnt zone relationships (uhusiano mfu),mmezaa toto tano ni ngumu kuishi kama hamjuani!!

Tafuta mwingine anaeleweka na yeye atapata mbaki mlee vijana,taratibu kila mmoja atamsahau mwenzake japo mtakua mnakutana
 
Back
Top Bottom