nawezaje kuahirisha mwaka.?

Huey freeman

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
593
Reaction score
248
nasoma project planning mwaka wa kwanza. nina sababu mbili za kutaka kuahirisha mwaka. .moja i dont think i l make it in project planning with a good gpa mbili nimepata kitu cha kufanya . .the problem is sijui process na so soon tunafanya mitihani ya kumaliza semister. nataka kubadilisha kozi. .mwenye uelewa na haya mambo anisaidie.
 
Hueleweki,
1. You don't think u will make it in PP
2. Umepata kitu cha kufanya
3. Unataka kubadilisha kozi!

Be specific usaidiwe, hizo sababu zako zinakinzana. Uko chuo gani? Me/ke?
 
niko udom. .male. . .nataka badilisha kozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…