J Julius01 Member Joined Feb 25, 2023 Posts 8 Reaction score 9 Nov 24, 2023 #1 View attachment 2823621 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
View attachment 2823621 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Nov 24, 2023 #2 Maake hapo kwanza ncheke😄
2sexy JF-Expert Member Joined Oct 3, 2020 Posts 682 Reaction score 1,529 Nov 24, 2023 #3 Kama upo dar nenda pale buguruni kituo cha bakheresa Utapata utaratibu wote
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 24, 2023 #4 Ngoja waje kukupa muongozo...
J Julius01 Member Joined Feb 25, 2023 Posts 8 Reaction score 9 Nov 24, 2023 Thread starter #5 2sexy said: Kama upo dar nenda pale buguruni kituo cha bakheresa Utapata utaratibu wote Click to expand... Asante!
2sexy said: Kama upo dar nenda pale buguruni kituo cha bakheresa Utapata utaratibu wote Click to expand... Asante!