Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

Julius01

Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
8
Reaction score
9
View attachment 2823621
Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?

Unapataje deli?

Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?

Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?

Unatakiwa uwe na nini na nini?

Na ice cream zinazobaki inakuwaje?

Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
 
Najua machache:-

1.uwe na wadhamini

2.Barua ya utambulisho

3.Malipo ni commission (Kwa kila ice cream moja)

4.Begi siyo mali yako ni ya kampuni

5. Wengine wataongezea
 
Nipo Tanga hapa
Kile kifaa cha kubebea unapewa bure
Ice cream unauziwa nusu bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…