J Julius01 Member Joined Feb 25, 2023 Posts 8 Reaction score 9 Nov 24, 2023 #1 View attachment 2823621 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
View attachment 2823621 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Nov 24, 2023 #2 Ngoja waje kukupa muongozo...
Mlatino Zeshalo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2014 Posts 2,130 Reaction score 3,599 Nov 29, 2023 #3 Huo mgongo wako upo imara?
J Julius01 Member Joined Feb 25, 2023 Posts 8 Reaction score 9 Dec 2, 2023 Thread starter #4 Mlatino Zeshalo said: Huo mgongo wako upo imara? Click to expand... Mbona umefikiria haraka hivyo? Sio ya kutembeza.
Mlatino Zeshalo said: Huo mgongo wako upo imara? Click to expand... Mbona umefikiria haraka hivyo? Sio ya kutembeza.