Nawezaje kuanza kuuza hizi ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

Nawezaje kuanza kuuza hizi ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

Julius01

Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
8
Reaction score
9
images.jpeg-8.jpg

Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?

Unapataje deli?

Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?

Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?

Unatakiwa uwe na nini na nini?

Na ice cream zinazobaki inakuwaje?

Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
 
kama huyo mkaka kwenye picha sio wewe basi ifute hiyo picha ya mkaka wa watu.hakukuwa na ulazima wa kuweka picha ya mtu kama lengo ni hilo deli basi ungeicrop hiyo picha ya huyo mkaka likabaki deli.

Si ndio ehee👊👊👊
 
Back
Top Bottom