J Julius01 Member Joined Feb 25, 2023 Posts 8 Reaction score 9 Nov 24, 2023 #1 Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
Rejea kichwa cha habari hapo juu. Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje? Unapataje deli? Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30? Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza? Unatakiwa uwe na nini na nini? Na ice cream zinazobaki inakuwaje? Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,773 Reaction score 51,429 Nov 24, 2023 #2 kama huyo mkaka kwenye picha sio wewe basi ifute hiyo picha ya mkaka wa watu.hakukuwa na ulazima wa kuweka picha ya mtu kama lengo ni hilo deli basi ungeicrop hiyo picha ya huyo mkaka likabaki deli. Si ndio ehee👊👊👊
kama huyo mkaka kwenye picha sio wewe basi ifute hiyo picha ya mkaka wa watu.hakukuwa na ulazima wa kuweka picha ya mtu kama lengo ni hilo deli basi ungeicrop hiyo picha ya huyo mkaka likabaki deli. Si ndio ehee👊👊👊