Nawezaje kuattach documents in single page

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wakuu kunasehemu natakiwa kutuma application latter,cv na vyeti vyangu kwa barua pepe lakini natakiwa nivitume ktk mfumo ambao huko niliko tuma inatakiwa waki click kufungua basi zifunguke zote kwa pamoja, yaani mfano juu page one appl latter aki scrow down page two cv akiscrow down page three certificates aki scrow tena down page four excel document,
Natumaini mmenielewa
 

Unaweza kuweka Combine doc zote sehemu moja na zikawa kwenye sequence kama una software ya Adobe Professional 7 hii ina weza kuread na kuwrite na Ku-combine PDF Doc.
Nadhani ukiomba humu unaweza pata. ngoja tuone kama kuna alternative.
 
nenda google, then download PDF convetor baada ya hapo install ktk pc yako then utaweza kuziweka docs zako pamoja kwa process kama unaprint vile bt utachagua hiyo convert.
 
Tafuta adobe converter kisha convert hizo docs zote na attach kwenye mail yako!
 
Tafuta program inaitwa Foxit Phantom, utaweza combine docs zako zote. Alternatively, unaweza tafuta PC yenye MS Word 2010, na docs zako zote ukaziunganisha kwenye word, kisha utasave as PDF. Kwenye MS WORD 2010 kuna file type nyingi ikiwemo pdf. Ukishindwa, if you don't mind nitumie docs zako kwenye PM nitakusaidia kuziweka pamoja kwa mpangilio unaoutaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…