Nawezaje kubadili jina Kwenye micro tik router ingawa user name na password nimesahau?

Kilawo

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
2,028
Reaction score
3,685
Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
 
Attachments

  • 161385260170027362.jpg
    161385260170027362.jpg
    47.8 KB · Views: 10
Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
Kuna reset button. angalia kweye hiyo mikrotik kuna sehemu kuna kashimo kadogo ambachi utatumia ile pin ya kuwekea line kubonyeza. ila hakikisha ukiwa unabonyeza uwe umekitoa kwenye umeme, ukiwa umebonyeza na hicho kipini, kichomeke kwenye umeme ukiwa umeshikilia bado, hakikisha kime flash hizoo taa zake
 
Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
Anaglia label pembei imendikwa Reset huwa kanakua pembeni katundu au button kabisa... Kama reset moda iko kwa katundu basi choma na kijiti (toothpick) kabla hujaiwasha then washa huku umekibonyeza simultaneously utaona LED zina blink...
 
Itabid u reset , then uta login kwa kutumia default usrname na pass
 
Anaglia label pembei imendikwa Reset huwa kanakua pembeni katundu au button kabisa... Kama reset moda iko kwa katundu basi choma na kijiti (toothpick) kabla hujaiwasha then washa huku umekibonyeza simultaneously utaona LED zina blink...
Wakati internet inafanya Kazi?
 
We utakuwa umeiba, umeshindwa kabisa kugoogle how to reset mikrotik router(uweke na model yake) rudisha kwa mwenyewe
 
Back
Top Bottom