Kuna reset button. angalia kweye hiyo mikrotik kuna sehemu kuna kashimo kadogo ambachi utatumia ile pin ya kuwekea line kubonyeza. ila hakikisha ukiwa unabonyeza uwe umekitoa kwenye umeme, ukiwa umebonyeza na hicho kipini, kichomeke kwenye umeme ukiwa umeshikilia bado, hakikisha kime flash hizoo taa zakeHabari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
Anaglia label pembei imendikwa Reset huwa kanakua pembeni katundu au button kabisa... Kama reset moda iko kwa katundu basi choma na kijiti (toothpick) kabla hujaiwasha then washa huku umekibonyeza simultaneously utaona LED zina blink...Habari wakuu natamani nibadili jina Kwenye micro tik router lakini user name na password nimesahau , maana alienisetia mara ya kwanza yupo mbali na mtandao alipo ni haupatakan .....Nawasilisha
Wakati internet inafanya Kazi?Anaglia label pembei imendikwa Reset huwa kanakua pembeni katundu au button kabisa... Kama reset moda iko kwa katundu basi choma na kijiti (toothpick) kabla hujaiwasha then washa huku umekibonyeza simultaneously utaona LED zina blink...
Hapana mkuu internet haiitajiki kwenye kureset.. only power (umeme) ndo unahitajika.Wakati internet inafanya Kazi?