Johnson nyangira
Member
- Aug 2, 2021
- 6
- 3
Andaa doc inaitwa deed poll zinakuwa tatu na passport 3Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia chuoni msaada jamani nifanye nini?
Hapo haitakuwa na madhara yoyote mfano kwenye suala la ajiraAndaa doc inaitwa deed poll zinakuwa tatu na passport 3
Peleka kwa msajiri wizarani ardhi isajiriwe
Hapo utakuwa umefanikiwa
Deed poll zinaandaliwa na mwanasheria
HpanaHapo haitakuwa na madhara yoyote mfano kwenye suala la ajira
Muone wakili aliyekaribunawe atakuandalia kiapo (DEED POLL) then atakuongoza ofisi inayohusika namaswala hayo serikalini.Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia chuoni msaada jamani nifanye nini?
Mkuu kama watangulizi hapo walivyukuelekeza, pita kwa mwanasheria aliyekaribu na wewe atakutengenezea nyaraka ya kisheria (Deed poll) ambayo itaonyesha kuwa unatambulika kwa majina unayoyahitaji sasa na kuyakana yale ya zamani! Mara baada ya kukamilika itapaswa kusajiliwa kwa wizara ya ardhi.Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia chuoni msaada jamani nifanye nini?
Kimsingi, huwezi kubadili majina yaliyoko kwenye vyeti vyako. Majina hayo yatabaki kama yalivyo kwenye nyaraka hizo na katika Taasisi husika milele.Wazazi wangu walitengana nikiwa na umri mdogo kisha mama yangu akaolewa tena.
Kwa sasa nimemaliza kidato cha nne nataka kwenda chuo ila nahiitaj kutumia jina la baba yangu mzazi kabla sijaingia chuoni msaada jamani nifanye nini?