MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Nakukaribisha sana Mkuu katika Kabila langu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu la Zanaki kutoka Mkoa uliobarikiwa wa Mara ( Musoma ), ila nakuonya chonde chonde usije ukakosea na ukataka kuwa Mhaya ( Kagera ), Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ), Mnyaturu ( Singida ), Mkara ( Kisiwani Mara ), Mrangi ( Dodoma ) na Mnyamwezi ( Tabora ) kwani utakuwa ni Mshamba ( Mbwiga ) Mwandamizi kama Wao.Habari wana JF
Ninajua mtu anaweza kubadili mambo makubwa kabisa kama dini, uraia, mke, na timu ya kushabikia.
Kwasasa nimelichoka kabila langu, naona kama linakosa swagger. Nifanyaje ili nibadili kabila?
Kuoa na kuhamia ukweni au kuhama sehemu niliyopo ni hatua ambazo sitaki kuzichua
Sisi hatumtaki kwenye kabila letu.Nakukaribisha sana Mkuu katika Kabila langu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu la Zanaki kutoka Mkoa uliobarikiwa wa Mara ( Musoma ), ila nakuonya chonde chonde usije ukakosea na ukataka kuwa Mhaya ( Kagera ), Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ), Mnyaturu ( Singida ), Mkara ( Kisiwani Mara ), Mrangi ( Dodoma ) na Mnyamwezi ( Tabora ) kwani utakuwa ni Mshamba ( Mbwiga ) Mwandamizi kama Wao.
mhh huu sasa uchocheziNakukaribisha sana Mkuu katika Kabila langu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu la Zanaki kutoka Mkoa uliobarikiwa wa Mara ( Musoma ), ila nakuonya chonde chonde usije ukakosea na ukataka kuwa Mhaya ( Kagera ), Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ), Mnyaturu ( Singida ), Mkara ( Kisiwani Mara ), Mrangi ( Dodoma ) na Mnyamwezi ( Tabora ) kwani utakuwa ni Mshamba ( Mbwiga ) Mwandamizi kama Wao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakukaribisha sana Mkuu katika Kabila langu lililobarikiwa na Mwenyezi Mungu la Zanaki kutoka Mkoa uliobarikiwa wa Mara ( Musoma ), ila nakuonya chonde chonde usije ukakosea na ukataka kuwa Mhaya ( Kagera ), Mnyiramba ( Singida ), Muha ( Kigoma ), Mnyaturu ( Singida ), Mkara ( Kisiwani Mara ), Mrangi ( Dodoma ) na Mnyamwezi ( Tabora ) kwani utakuwa ni Mshamba ( Mbwiga ) Mwandamizi kama Wao.
Karibu uwe Mpangwa wa Ludewa-Njombe, Sehemu iliyobarikiwa na MUNGU.Habari wana JF
Ninajua mtu anaweza kubadili mambo makubwa kabisa kama dini, uraia, mke, na timu ya kushabikia.
Kwasasa nimelichoka kabila langu, naona kama linakosa swagger. Nifanyaje ili nibadili kabila?
Kuoa na kuhamia ukweni au kuhama sehemu niliyopo ni hatua ambazo sitaki kuzichua
Rugha..?lughaRahisi tu hamia eneo husika kwenye kabila unalolitaka, kajififunze hiyo rugha kwa bidii utajua ndani mda mfupi tu fundisha na wanao na wote watakaozaliwa watakuta unaongea hiyo rugha na itakuwa yako rasmi uzuri hakuna makaratasi ni wewe kujua ruga tu inatosha