uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 17,060
- 32,400
Habari wana JF
Ninajua mtu anaweza kubadili mambo makubwa kabisa kama dini, uraia, mke, na timu ya kushabikia.
Kwasasa nimelichoka kabila langu, naona kama linakosa swagger. Nifanyaje ili nibadili kabila?
Kuoa na kuhamia ukweni au kuhama sehemu niliyopo ni hatua ambazo sitaki kuzichua
tusi hilo Kwa Baba yako!