Nawezaje kubadili kabila?


tusi hilo Kwa Baba yako!
 
Ungetaja kabila langu kwenye hilo kundi hapa pangechimbika
 
mhh huu sasa uchochezi
Mkuu Makabila yote hayo niliyoyataja ni ya Watani zangu Wakubwa na huwa napenda Kuwatania sana hapa JamiiForums na Wananijua na Wameshanizoea pia Mtani wao wa Kizanaki kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )

Ninawapenda Watani zangu wote tajwa.
 
Ungetaja kabila langu kwenye hilo kundi hapa pangechimbika
Lipi hilo Mkuu hebu litaje kwani hayo Makabila tajwa ni Watani zangu upande wa Kiumeni ila kwa upande wa Kikeni Mimi ni Mmakuwa kutoka Mkoani Mtwara ( Masasi ) ambako huko nako Watani zangu ambao nao ni Washamba ( Mambwiga ) ni Wangoni, Wandengereko, Wangindo, Wazaramo, Wakwere na Wagogo.

Na bahati ya pekee kabisa niliyonayo GENTAMYCINE ni kwamba Makabila yangu yote haya ya Zanaki na Makuwa yameshatoa Marais wa Tanzania Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere ( Zanaki ) na Hayati Benjamin Mkapa ( Makuwa ) Mkuu wangu.
 
Soma uzi vizuri
 
Mkuu, hizo details sijaweka kwa makusudi siyo oversight
karibu huku sisi wakina mshana jr ,january makamba wachapa kazi karibu lushoto hali ya hela ile ya chuga cha mtoto huku raha tupu watoto weupe kama wote ila kuna maalbino kama uchafu
 
Kufa uzaliwe upya
 
Umesema hutaki kuhama na bado unataka kubadili kabila? Mbona pagumu sana hapo?

Watu waliowahi kubadili makabila yao (ninaowafahamu) ni wale waliohama na kwenda kuishi palipo na kabila lake "jipya".

Ukihamia mkoa fulani na ukajiungamanisha na familia mojawapo ya kabila unalotaka liwe lako, baada ya muda na wewe utaanza kutambulika kama mmoja wa hilo kabila. Wajukuu zako huko mbeleni, endapo hawataambiwa, wanaweza wasijue kuwa kabila lao la awali halikuwa hilo wanalotambulika nalo wakati huo.
 
Lazima kuwe na namna ya kisheria ya kubadili kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…