Nawezaje kudhibiti SMS zinazotumwa kwangu na mitandao ya simu Bila ridhaa yangu?

Mr Mjs

Member
Joined
Mar 22, 2024
Posts
37
Reaction score
37
Simu yangu imegeuka kuwa kheri sasa. Haizipiti dakika tano bila kupokea jumbe kutoka Kwenye mitandoa ya simu au makampuni ya Kubeti n.k ikiwa sija option kuweza kupata hizo sms.
Nawezaje kudhibiti hili au kuna utaratibu wowote wa kisheria naweza kuchukua dhidi ya hili swala?
 
Block
 
Kwakweli zinakera sana hii mitandao ijitahidi kupunguza kutuma sms kila saa kwa Mtu ambaye hajaridhia.
 
Huwezi kuwa block ila kuna njia ya kupunguza na wanayo wenyewe kwenye menu zao
Kwa smart phone mark inawezekana isipokuwa zitaingia Ila zitaenda spam folder moja moja bila notification yoyote.

Mfaano hii ni simu yangu hizi msg zote zinaingia kimya kimya na baada ya 30days zinaondoka.

Ili kuziona ni labda mimi niamue kuingia huku.

Screenshot_20261010_120957_Messages.jpg
 
Kwa smart phone mark inawezekana isipokuwa zitaingia Ila zitaenda spam folder moja moja bila notification yoyote.

Mfaano hii ni simu yangu hizi msg zote zinaingia kimya kimya na baada ya 30days zinaondoka.

Ili kuziona ni labda mimi niamue kuingia huku.

View attachment 3687887
Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezea

199701.png
 
Block them
Nimeblock kampuni zaidi ya 15 kuondoa kero
 
Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezea

View attachment 3687889
Mdau anatumia simu ya Android kupitia app ya Google messages ndio kuna hiyo feature ya spam blocking.

Kwa hii interface ya screen yako inaonesha ni iPhone user na sidhani kama option hiyo ipo kwenye iMessage.
 
Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezea

View attachment 3687889
Sijajua ni msg app gani unatumia, mimi natumia Google message ukichagua moja iwe aitel, yas au voda ukagonga block zote zikiingia zinaenda moja kwa moja huko.
Screenshot_20261010_122919_Messages.jpg
 
Simu yangu imegeuka kuwa kheri sasa. Haizipiti dakika tano bila kupokea jumbe kutoka Kwenye mitandoa ya simu au makampuni ya Kubeti n.k ikiwa sija option kuweza kupata hizo sms.
Nawezaje kudhibiti hili au kuna utaratibu wowote wa kisheria naweza kuchukua dhidi ya hili swala?
Chapa block
 
Back
Top Bottom