BlockSimu yangu imegeuka kuwa kheri sasa. Haizipiti dakika tano bila kupokea jumbe kutoka Kwenye mitandoa ya simu au makampuni ya Kubeti n.k ikiwa sija option kuweza kupata hizo sms.
Nawezaje kudhibiti hili au kuna utaratibu wowote wa kisheria naweza kuchukua dhidi ya hili swala?
Huwezi kuwa block ila kuna njia ya kupunguza na wanayo wenyewe kwenye menu zaoBlock
Kwa smart phone mark inawezekana isipokuwa zitaingia Ila zitaenda spam folder moja moja bila notification yoyote.Huwezi kuwa block ila kuna njia ya kupunguza na wanayo wenyewe kwenye menu zao
Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezeaKwa smart phone mark inawezekana isipokuwa zitaingia Ila zitaenda spam folder moja moja bila notification yoyote.
Mfaano hii ni simu yangu hizi msg zote zinaingia kimya kimya na baada ya 30days zinaondoka.
Ili kuziona ni labda mimi niamue kuingia huku.
View attachment 3687887
Mdau anatumia simu ya Android kupitia app ya Google messages ndio kuna hiyo feature ya spam blocking.Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezea
View attachment 3687889
Sijajua ni msg app gani unatumia, mimi natumia Google message ukichagua moja iwe aitel, yas au voda ukagonga block zote zikiingia zinaenda moja kwa moja huko.Oooh, sasa mbona sioni message za mtandao wa sim ambazo zinakuja na tittle kama vodacom au airtel maana hizi ni kero zaidi na ndo nazozielezea
View attachment 3687889
Oooh, yangu ni iphoneSijajua ni msg app gani unatumia, mimi natumia Google message ukichagua moja iwe aitel, yas au voda ukagonga block zote zikiingia zinaenda moja kwa moja huko.
View attachment 3687896
Chapa blockSimu yangu imegeuka kuwa kheri sasa. Haizipiti dakika tano bila kupokea jumbe kutoka Kwenye mitandoa ya simu au makampuni ya Kubeti n.k ikiwa sija option kuweza kupata hizo sms.
Nawezaje kudhibiti hili au kuna utaratibu wowote wa kisheria naweza kuchukua dhidi ya hili swala?