Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
Mkuu hapo utakuwa unavunja sheria ya nchi maana wakikuambia ulete original itakuwaje though kufanya unavyotaka wewe ni very simple ila nakushauri acha hivyo hivyo uangalie taratibu za kisheria zinasemaje ili kuonyesha tofauti ya majina kwenye vyeti vyako. Kama ungekuwa huna cheti cha kuzaliwa ungeenda Rita na kuongezea yale majina ambayo hayapo kwenye cheti chako cha shule lakini kama unacho tayari wewe angalia utaratibu wa kisheria unasemaje.Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.