Nawezaje kuedit cheti changu

Nawezaje kuedit cheti changu

RIKAB

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
47
Reaction score
2
Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
 
fanya vyovyote ila ucjeukakigusa cheti utakuja kujutia maisha yako yote!
 
Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.

Nenda kaape.
Kama wafanyavyo wanawake walioolewa.

Mfano Anna Kilango Malecela.
Kwa vyovyote vyeti vyake vya awali vimeandikwa Anna Kilango.

Ukiediti umevunja sheria mkuu.
 
Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.
Mkuu hapo utakuwa unavunja sheria ya nchi maana wakikuambia ulete original itakuwaje though kufanya unavyotaka wewe ni very simple ila nakushauri acha hivyo hivyo uangalie taratibu za kisheria zinasemaje ili kuonyesha tofauti ya majina kwenye vyeti vyako. Kama ungekuwa huna cheti cha kuzaliwa ungeenda Rita na kuongezea yale majina ambayo hayapo kwenye cheti chako cha shule lakini kama unacho tayari wewe angalia utaratibu wa kisheria unasemaje.
 
Naomba kuuliza jinsi ya kuedit majina kwenye cheti changu maana nahitaji kutuma copy za vyeti kusudi langu ni nakala hizo kufanana majina tu.

Nenda kaape.
Kama wafanyavyo wanawake walioolewa.

Mfano Anna Kilango Malecela.
Kwa vyovyote vyeti vyake vya awali vimeandikwa Anna Kilango.

Ukiediti umevunja sheria mkuu.
 
Iyo imekula kwako ucjarbu hata kufkria kufnya hvyo
 
Back
Top Bottom