Nawezaje kufanikisha usajili wa BRELA?

Nawezaje kufanikisha usajili wa BRELA?

kidu27

Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
21
Reaction score
0
Wapendwa,

Nilifanya online business name registration kwa BRELA toka 13/12/2016 lakini hadi leo bado hawajafanya clearance ya business name. Namba ya simu waliyotuwekea ukipiga haipokelewi na muda mwingine haipatikani kabisa. Naomba msaada wa mawazo wa namna gani naweza fanikisha huu usajili.

Asanteni.
 
Ingia ktk account yako ya brela...utaona status
 
Back
Top Bottom