Nawezaje kugombea Ubunge Dodoma Mjini?

Nawezaje kugombea Ubunge Dodoma Mjini?

Joined
Sep 22, 2024
Posts
14
Reaction score
106
Natarajia kuja kuishi Dodoma mjini Mwakani na Kugombea ubunge 2025..

Wana JF nipeni mbinu nawezaje pata ubunge pale Dodoma kupitia CCM
 
Back
Top Bottom