Nawezaje kuhama kituo cha kazi bila kubadlishana na mtu - Mwalimu

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,877
Reaction score
5,022
Jaman mim ni muajiriwa mpya huku wilaya mpya ya buhigwe mkoa wa kigoma idara ya sec.

naomba kupewa utaratbu wa kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa wa arusha,tanga au kilmanjaro bila kubdlshana na mtu coz nimekosa mtu wa kubadlshana nae mwez wa4 huu.

ntashukuru sana kwa majibu yenu .
 
Wakongwe katka kaz pia natarajia mchango wenu mkubwa sana kwenye hil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…