Kv-london
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 2,877
- 5,022
Jaman mim ni muajiriwa mpya huku wilaya mpya ya buhigwe mkoa wa kigoma idara ya sec.
naomba kupewa utaratbu wa kuhama kituo cha kazi kwenda mkoa wa arusha,tanga au kilmanjaro bila kubdlshana na mtu coz nimekosa mtu wa kubadlshana nae mwez wa4 huu.
ntashukuru sana kwa majibu yenu .