Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

Kuna njia kadhaa za kupata 20k kwa siku, kulingana na uwezo wako na mazingira yako.

Baadhi ya njia ni pamoja na kufanya kazi za uhuru kama vile kufanya kazi za kwenye majukwaa kama Upwork au Fiverr,

kufanya kazi za mikono kama vile kuuza vitu mtandaoni au kufanya kazi kama dereva wa teksi.

Unaweza pia kufikiria kutafuta kazi ya muda au kufanya kazi za ziada nyumbani kama vile kutunza watoto au kupika chakula kwa watu wengine.
Kwa hisani ya chartGpt!
 
Wapendwa Katika bwana,

Natamani Sana kujiona nikipiga hatua,

Naombeni fursa/Mchongo wowote ambao naweza kupiga 20k hadi 30k kwa siku.....hapa Dar es salaam

Mimi ni binti .......
Weee jamaa! Kwa uelewa wako na uhaba wa ajira na maokoto! alafu "out of nowhere" mtu akupe mchongo HALALI wa kuingiza 20,000/30,000 kwa siku?? Jiongeze! Akijitokeza ujue umekwisha!

Ooh! Nilikuwa sijasoma vizuri! Kumbe wewe ni binti? Ebu tuwekee kapicha tunaweza kupata jiko kimasiharasihara
 
Wapendwa Katika bwana,

Natamani Sana kujiona nikipiga hatua,

Naombeni fursa/Mchongo wowote ambao naweza kupiga 20k hadi 30k kwa siku.....hapa Dar es salaam

Mimi ni binti .......
1. Kawe saidia fundi wa ujenzi wa magorofa na magodaun hii ni uhakika day ni elf20 hadi 30

2. Kwakuwa umesema wewe ni mdada kuna fursa ya kutumia alichokupa Mungu ukaingiza pesa ndefu kuliko hiyo(japo sikushauri ufanye hivo) ila nimesema kwakuwa nilikamatika na ukame nikatoaga elf70 kwa masaa mawili iliniuma sana na nikaamini hawa madanga kwa siku wanaingiza mtonyo mrefu kwelikweli
 
Hahaha unataka umpe 20k to 30k, daily..acha basi bwasheee
Bwasheee atapata zaidi ya hiyo na hadhi yake katika jamii itaongezeka. Jambo lamsingi aje PM tuyajenge, elfu 20/30 sikitu, suala lamsingi awe tayari na aridhie Kwa moyo wake kua sambamba na Kijana kama mimi bega Kwa bega lakini awe Binti smart tu kichwani.😃😃
 
Kuna

  • kuingiza 20,000/= kwa siku
  • kupata 20,000/= kwa siku

Sasa hapo ushauri mwingi naona ni wa kukuweza kupata sio kuingiza maana hiv ni vitu tofauti.
 
Back
Top Bottom