Nawezaje kuingiza 20,000 hadi 30,000 per day?

Vijana wa himu bhn mnafuraisha jiko na fursa hii inawezekanaje
 
Mtu kaomba ushauri we unataka kuyajenga,muache binti wawatu atafute maisha yake.Kwahiyo ulikuwa unatafuta Mwanamke wa kuoa kupitia matatizo yake?Yaan wazo aliloomba wewe umeona ni fursa ya ndoa na ndiyo maana ndoa nyingi zinazingua.
Mkuu kufaa kufaana, lakini pia usichukulie kila kitu seriously mtandaoni, unawezakuta na miaka 18 au 50 kabisa. Napia unaweza Kuta alieleta mada ni mwanaume pia.
 
Unataka uingize 20k kwa mtaji sifuri, au unamaanisha kuingiza kwenye nini?
 
Njoo uuze DAGAA nyamanono kutoka Mwanza, hakika hutojutia. Fanya delivery kula wakati na Mungu atakusaidia
Mkuu hii ni biashara ninayipenda ila bado sijajua soko lake lipoje.

Je ni mikoa gani ni rafiki kwa Biashara hii?

Nisaidie tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…