Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

Nawezaje kuirudisha meseji nilitotuma kwenye yahoo messenger !! ndoa iko hatarini!

Nashukuru sana soo limeisha salama waungwana. Ilikuwa ni kwa njia ya kidemokrasia nikafanikiwa kupata password ya mamaa. Bahati nzuri nilikuta offline msgz nikazi-clear. Ninachoshukuru wife huwa anacheki mails lakini naona hatumii Yahoo messenger mara kwa mara

Sio busara kuelezea password ilipatikanaje ndugu zangu sababu shemeji yenu anaweza akawa ni mmoja wa wageni wetu humu JF au akakuta hiki kisa kwenye media nyingine ikawa shida.

Nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja.

Pole sana Green29,

Lakini nakupa pia hongera kuwa umeweza kuepuka zali ambalo lingeizamisha ndoa yenu. Nakupa ushauri wa bur mdogo wangu, jiepushe kabisa na mchezo habari ya nyumba ndogo, fanya uamuzi na utafanikiwa. Usipoacha iko siku yote yataibuka.

Kuna kitu pia umenishangaza nami kwangu ni ajabu. Nakupa siri ya ndoa Green. Kwanza hakuna kitu cha mkeo na chako, vyote ni vyenu kwa hiyo jiaminishe kwa mkeo-share your passwords. Kwa mkeo kukupa password yake inaonekana ni muaminifu kwako yawezekana kuwa ana address nyingine lakini kama hakuwa na shida kukupa password yake basi initiall ni muaminifu kwa ndoa yake; nakushauri nawe umpe ya kwako maana ukitaka ndoa yake iwe nzuri na amani huna haja ya kumficha kitu mkeo. Hilo liendelee hata kwenye bank account nk ambapo mnaweza kuwa na joint account nk; hilo pia likusaidia kuwa na discipline.
 
Pole mzee mwenzangu na hongera kwa kuumaliza mgogoro huu bila madhara yoyote kwenye ndoa yako. Nilishindwa kabisa kutia neno humu kwa kuwa ulipoweka hii thread hapa ni kama siku mbili tu zilizopita nilikua nimelamba mke wa mtu na njia kuu ya mawasiliano tuliyokuwa tukitumia ilikua ni email, sasa karoho kalikua kananienda mbio, nikawa najiuliza 'what if she is Mrs Green? Na hapa kila mtu alikua anakushauri utafute password yake? Lets hope sio yeye!!
 
funga na kuomba siku tatu kisha uachane na mitabia mibovu ya kukumbuka dhambi za awali.

mwisho kabisa ukome na iwe fundisho kwa wasiokuwa waaminifu kama wewe
 
Pole mzee mwenzangu na hongera kwa kuumaliza mgogoro huu bila madhara yoyote kwenye ndoa yako. Nilishindwa kabisa kutia neno humu kwa kuwa ulipoweka hii thread hapa ni kama siku mbili tu zilizopita nilikua nimelamba mke wa mtu na njia kuu ya mawasiliano tuliyokuwa tukitumia ilikua ni email, sasa karoho kalikua kananienda mbio, nikawa najiuliza 'what if she is Mrs Green? Na hapa kila mtu alikua anakushauri utafute password yake? Lets hope sio yeye!!
hahahahaha sina mbavu mie
 
Hope I havent given you a heart attack Mr. Green. Kwa kifupi ni kwamba hii uichukulie kama ni ajali kazini and you should learn through your mistake,waswahili wanasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa....?? hope hutarudia tena kosa kama hilo. Life is all about having fun coz you only live once. All forbidden fruits test the sweetest!!Have fun and enjoy.
 
Pole mzee mwenzangu na hongera kwa kuumaliza mgogoro huu bila madhara yoyote kwenye ndoa yako. Nilishindwa kabisa kutia neno humu kwa kuwa ulipoweka hii thread hapa ni kama siku mbili tu zilizopita nilikua nimelamba mke wa mtu na njia kuu ya mawasiliano tuliyokuwa tukitumia ilikua ni email, sasa karoho kalikua kananienda mbio, nikawa najiuliza 'what if she is Mrs Green? Na hapa kila mtu alikua anakushauri utafute password yake? Lets hope sio yeye!!

kuda....da..da...da...deki!!! Kana kan Sungu, INBOX ya wife iko clean. Huyo uliyevuta ni wale wa uwanja wa fisi wanaosingizia ni wake za watu ili usiwabane sana! ...yes, wana email siku hizi!
 
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh

Nakupinga Judy, small house ni sehemu muhimu katika maisha, mke mmoja hatoshi, sipendi kuita ni umalaya......... dawa ni kuwa mbinu za kishagishagi kukabiliana na matatizo pindi yaibukapo.
 
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh

Dada Judy, usiogope hapa umepata sample ambayo bila shaka conclusion utayotoa yawezakuwa kweli. Lakini pia yaweza kuwa ni waropokaji tu (ingawa kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake).

Nakupinga Judy, small house ni sehemu muhimu katika maisha, mke mmoja hatoshi, sipendi kuita ni umalaya......... dawa ni kuwa mbinu za kishagishagi kukabiliana na matatizo pindi yaibukapo.

Naona vita vya kijinsia vimeanza!

Una uhakika ni wanaume pekee?
Wanafanya umalaya na nani? Na wanaume wenzao ama?

Dada Judy, utaviweza vita hivi? Vitakuwa vya nguoni sasa hivi.

Na hii yanikumbusha vita vya Mugongomugongo Vs a Well behaved woman does not make a history.
 
Judy,
Umalaya sio wanaume tu, hata wanawake ni malaya. Things happen na ndo maana hata Green kaamua kutoa suala lake wazi ili tumpe suluhisho la kidiplomasia.
Tuache blame game....
 
Dada Judy, usiogope hapa umepata sample ambayo bila shaka conclusion utayotoa yawezakuwa kweli. Lakini pia yaweza kuwa ni waropokaji tu (ingawa kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake).

Naona vita vya kijinsia vimeanza!

Dada Judy, utaviweza vita hivi? Vitakuwa vya nguoni sasa hivi.

Na hii yanikumbusha vita vya Mugongomugongo Vs a Well behaved woman does not make a history.
Ibra,
Hivi vita kweli kweli, wanaume nao siku hizi kwa kutetea haki zao si mchezo. Wanawake walienda beijing kuzindua sasa sijui wanaume nyie mlikutana wapi. Anyway i expected this, si unajua tena aguswaye hushtuka. BTW Mugongomugongo yuko wapi? Guys no offence ni mtazamo tu na kila mtu ana wake,
 
Umalaya sio wanaume tu, hata wanawake ni malaya.

..kama sijakosea,wanawake ndio walikuwa wakiitwa malaya,mpaka pale yalipokuja mambo ya hakisawa!

..wanaume walikuwa wakiitwa wahuni.

..btw,maana ya neno malaya ni nini? anyone with kamusi in hand?
 
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh
Yameshakuwa haya?? It takes two to..... Maadili nayo siku hizi hamna most of cheating these days inatokea kwenye ndoa . Hili tatizo liko kote kwa wanaume na wanawake. Nina mifano hai mingi tu ya wanawake wenye ndoa waliokubuhu...
Kwa hilo nitatofautiana na wewe.
 
hapo mama lao km hujaeleweka basi hatari.....it is all in black and white!!
 
kazi kweli maana nimecheka mpaka basi

ila pole mkuu na jitahidi kuwa makini mkuuu na mambo haya usimfate huyo kasana yeye mawazo yake ya kipekee
 
nmecheka mpaka basi. kingekuwa ni chakula bila shaka kingerudi. dah! pole sana mkuu. Mia
 
Back
Top Bottom