Mtoto wa Mkulima
JF-Expert Member
- Apr 12, 2007
- 681
- 134
Mtot wa Mkulima, soma kisanga cha 'Mtoto wa Mkulima' hapa:
http://www.jamboforums.com/showthread.php?t=8046&highlight=mganda
What goes around comes around, hata kama wewe jina lako si Mtoto wa Mkulima!!
Nashukuru sana soo limeisha salama waungwana. Ilikuwa ni kwa njia ya kidemokrasia nikafanikiwa kupata password ya mamaa. Bahati nzuri nilikuta offline msgz nikazi-clear. Ninachoshukuru wife huwa anacheki mails lakini naona hatumii Yahoo messenger mara kwa mara
Sio busara kuelezea password ilipatikanaje ndugu zangu sababu shemeji yenu anaweza akawa ni mmoja wa wageni wetu humu JF au akakuta hiki kisa kwenye media nyingine ikawa shida.
Nashukuru kwa ushauri wa kila mmoja.
hahahahaha sina mbavu miePole mzee mwenzangu na hongera kwa kuumaliza mgogoro huu bila madhara yoyote kwenye ndoa yako. Nilishindwa kabisa kutia neno humu kwa kuwa ulipoweka hii thread hapa ni kama siku mbili tu zilizopita nilikua nimelamba mke wa mtu na njia kuu ya mawasiliano tuliyokuwa tukitumia ilikua ni email, sasa karoho kalikua kananienda mbio, nikawa najiuliza 'what if she is Mrs Green? Na hapa kila mtu alikua anakushauri utafute password yake? Lets hope sio yeye!!
Pole mzee mwenzangu na hongera kwa kuumaliza mgogoro huu bila madhara yoyote kwenye ndoa yako. Nilishindwa kabisa kutia neno humu kwa kuwa ulipoweka hii thread hapa ni kama siku mbili tu zilizopita nilikua nimelamba mke wa mtu na njia kuu ya mawasiliano tuliyokuwa tukitumia ilikua ni email, sasa karoho kalikua kananienda mbio, nikawa najiuliza 'what if she is Mrs Green? Na hapa kila mtu alikua anakushauri utafute password yake? Lets hope sio yeye!!
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh
Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh
Nakupinga Judy, small house ni sehemu muhimu katika maisha, mke mmoja hatoshi, sipendi kuita ni umalaya......... dawa ni kuwa mbinu za kishagishagi kukabiliana na matatizo pindi yaibukapo.
Una uhakika ni wanaume pekee?
Wanafanya umalaya na nani? Na wanaume wenzao ama?
Ibra,Dada Judy, usiogope hapa umepata sample ambayo bila shaka conclusion utayotoa yawezakuwa kweli. Lakini pia yaweza kuwa ni waropokaji tu (ingawa kimtokacho mtu ndicho kiujazacho moyo wake).
Naona vita vya kijinsia vimeanza!
Dada Judy, utaviweza vita hivi? Vitakuwa vya nguoni sasa hivi.
Na hii yanikumbusha vita vya Mugongomugongo Vs a Well behaved woman does not make a history.
Umalaya sio wanaume tu, hata wanawake ni malaya.
Yameshakuwa haya?? It takes two to..... Maadili nayo siku hizi hamna most of cheating these days inatokea kwenye ndoa . Hili tatizo liko kote kwa wanaume na wanawake. Nina mifano hai mingi tu ya wanawake wenye ndoa waliokubuhu...Wanaume wengi humu malaya kama nini,mmh
Mkuu,
Mlilie chozi kuwa shetani mbaya alikushawishi.. ni huyo shetani.. na siyo wewe! Atakusamehe!
Mkuu,
Mlilie chozi kuwa shetani mbaya alikushawishi.. ni huyo shetani.. na siyo wewe! Atakusamehe!
Yameshakuwa haya?? It takes two to..... Maadili nayo siku hizi hamna most of cheating these days inatokea kwenye ndoa . Hili tatizo liko kote kwa wanaume na wanawake. Nina mifano hai mingi tu ya wanawake wenye ndoa waliokubuhu...
Kwa hilo nitatofautiana na wewe.