Nawezaje kujiajiri kama Radio Therapist?

rechungura1

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
387
Reaction score
129
Habari wanaJF,

Nina mpango wa kusoma hiyo fani tajwa hapo juu but nina mpango wa kujiajiri hapo baadae. Nasikia zile mashine za mionzi ni ghali sana kwel? Unaweza kuazisha centre inayojihusisha na radiotheraphy pekee ukapata wateja?

Naomba mnijulishe kwa undani kuhusu hiyo fani.
 

Vituo vichache.....lakini unatakiwa uendane na technologia.....kama kipnd hiki mashine mpya zimetoka ni ghali sana na utengenezaji wake zikiharibika ni kazi sana....cjajua hadi utakapo maliza ww ww cjui itakuwaje bt hyo kitu its ol about technology......xo uwe umejipanga sanaaa maana hata serikali yenyewe inashbdwa kumudu labda uwe na kakituo kadg....ol da best hamna kinacho shindkana chn ya jua
 
thanks mkuu kwa kuchangia kuhusu hela ntajipanga but kuhusu wateja hiv mteja anaweza kutoka nyumban kufuata huduma ya radiotherapy tu? au lazima uongezee huduma nyingine za kimatibabu?
 
hivi wataalamu wa kurepair hizo mashine ni haohao ma radiotherapist au ni electrical and biomedical engineers?
 
thanks mkuu kwa kuchangia kuhusu hela ntajipanga but kuhusu wateja hiv mteja anaweza kutoka nyumban kufuata huduma ya radiotherapy tu? au lazima uongezee huduma nyingine za kimatibabu?

Inawezekana kutoka kuja kufuata hio huduma kama utakuwa umekakughuliwa na wizara ya afya na wakajiridhisha na hio kitu maana kutibu kwa mionzi ni very very dangerous kama hutakuwa makini utauwa watu.....lakini kiuchumi zaidi lazima utatakiwa uwe na kitu kingne just imagine tanzania nzima ni ocean road tuu ndi wanatoa hio huduma so itatakiwa ujipange kweli kweli si chini ya BILIONI kadhaaa
 
hivi wataalamu wa kurepair hizo mashine ni haohao ma radiotherapist au ni electrical and biomedical engineers?

Utakapo nunua hizo machine mfano south huko huko wataalamu watakuja kukufungia hizo machine so hata zikiiaribika ni wao watakutafutia fundi wa compny aje akutengenezee mara nying huwa wanakuwa bzy sana fundi unamtoa uliko nunua machine.....mfano kuna sehemu machine ya MRI kuna mtu aliingia alikuwa na kitu chenye metal kilipo shika kwenye machine ilikaa miezi mitatu fundi kuja maana waliko nunua walisema mafundi wao wako bzy had mda huo watakuwa free so huduma ikasimama kwa mda huo kiuchumi sio gud...lakin sijaju fundi wahzo machine awe nani lakin mtu alisomea gio kozi si dhani kama atakuwa able kutengeneza
 
thanks kwa kunifungua.......vp maradiotherapist walioajiriwa mishahara yao inarange kwenye sh ngapi hiv
 

thanks mkuu kwa mchango wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…