Nawezaje kujiunga na mafunzo ya Urefa (Waamuzi wa michezo hasa mpira)?

Nawezaje kujiunga na mafunzo ya Urefa (Waamuzi wa michezo hasa mpira)?

Dr sokoro

New Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
1
Reaction score
2
Habari za wakati huu ndugu wana jamvi hili.

Napendwa kueleweshwa ni kwa namna ipi ninaweza kupata mafunzo ya utefarii yaani waamzi wa michezo hasa mpira wa miguu kwa hapa nchini.

Napenda kufahamu iwapo kuna vyuo rasmi vinavyotoa kozi au mafunzo hayo au kama kuna mfumo unaofahamika kwa jambo hilo.

Naomba kueleimishwa katika hili. Asante.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom