dodomao
Member
- May 22, 2017
- 58
- 76
Habari ya alasiri,
Mimi ni mama ninataka kujiunga na mashindano ya magari ninaomba kujua ninapaswa kufanyaje ili nipate nafasi ya mimi kushindana. Ninapaswa niwe na sifa gani?
Nina leseni na nina uzoefu wa kuendesha gari kwa miaka 10 na nina uwezo wa kuendesha gari 160km/hr