Nawezaje kujiunga na mashindano ya magari

Nawezaje kujiunga na mashindano ya magari

dodomao

Member
Joined
May 22, 2017
Posts
58
Reaction score
76
Habari ya alasiri,

Mimi ni mama ninataka kujiunga na mashindano ya magari ninaomba kujua ninapaswa kufanyaje ili nipate nafasi ya mimi kushindana. Ninapaswa niwe na sifa gani?

Nina leseni na nina uzoefu wa kuendesha gari kwa miaka 10 na nina uwezo wa kuendesha gari 160km/hr
 
Jamani ninasubiria waje watafika saa ngapi...niko moshi na ningewapata wa huku kanda ya kaskazin ningefurahi
 
Kama upo Moshi n vzur ukaanza kwenda Arusha Namanga road huwa aanakuga na mashndano ya kawaida huko utapata uzoefu na links mbalimbal za kujoin racing kubwa though I head ts lto expensive to join em
 
Kuna mdada hapo Arusha anaitwa NEEMA ni maarufu huko kwenye rally,unaeza tafuta contacts zake
 
Jamani ninasubiria waje watafika saa ngapi...niko moshi na ningewapata wa huku kanda ya kaskazin ningefurahi
Wasiliana na watu wa Azam media uone namna ya kuwasiliana na Michael Maluwe/Malue ambaye nina hakika atakuunganisha na wahusika.
 
Back
Top Bottom