Unamshauri au unamkomoa???[emoji13] [emoji13]kila la kheri.. naona unataka uwafate wakina Lewis Hamilton
Unatumia nini MkuuUnamshauri au unamkomoa???[emoji13] [emoji13]
sent from my xm udongo using jf app
Natumia soda situmii biaUnatumia nini Mkuu
hahah mwache mama wa watu akimbize magariNatumia soda situmii bia
sent from my xm udongo using jf app
Wasiliana na watu wa Azam media uone namna ya kuwasiliana na Michael Maluwe/Malue ambaye nina hakika atakuunganisha na wahusika.Jamani ninasubiria waje watafika saa ngapi...niko moshi na ningewapata wa huku kanda ya kaskazin ningefurahi
Toka mwaka jana!!!Sijawaona mkuu