Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari za mapumziko wadau ninahitaji kujua njia itakayo wezesha kufahamu cheti original cha four ,nimepewa jukumu la kusaili watu katika kampun yetu.
unataka ujue iki ufoji au. ok pale NECTA huwa wanapokea vyeti kutoka sehemu mbalimbali kwa ajili ya kuverify so wala usijitese we wapelekee
OG kina nembo ya Twiga kwa ndan japo wabongo nao ni wazuri kwa kuchakachua,,,,,,,,,,
nashukuru ndugu ntafanya hivyo
ok poa aisee hamna nafasi nimlete mdogo wangu hapo
Unahitaji cheti au ujuaji wa kazi?