Tafuta kurasa zake za facebook/instagram/LinkedIn/tweet
Then anza kufuatilia matukio muhimu kumhusu yeye, mfano picha/siku za kuzaliwa/graduation/harusi/sendOff n.k
Then anza kusoma comment moja moja na kufuatilia likes
Then utapata watu wanaojirudia rudia kwenye comments/likes. Pia kuna majina watakuwa wanaitana hasa kama ni wakike. Utapata njia
Anza kuwafuatilia mmoja mmoja uhusiano wao na mlengwa wako, hapa kumbuka wanaweza wasiwe ndugu zake ila wakawa rafiki wa ndugu zake hivyo uwe makini, ukifika mahali pa kujiridhisha mtafute mmoja inbox msalimie tu na story za kawaida.
Ni kazi ngumu kidogo ila kila la kheri.
VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA