Nawezaje kujua family members wa mtu fulani kwa njia ya mtandao?

kingi mweuc

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2015
Posts
266
Reaction score
73
Habari wana jf nilikua naomba kujua namna ya kupata taarifa za mtu kama vile majina ya wazazi wake na information nyingine kwa njia ya mtandao je nim search wapi ili nione information hizo?
Naomba mnisaidie jaman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta kurasa zake za facebook/instagram/LinkedIn/tweet

Then anza kufuatilia matukio muhimu kumhusu yeye, mfano picha/siku za kuzaliwa/graduation/harusi/sendOff n.k

Then anza kusoma comment moja moja na kufuatilia likes

Then utapata watu wanaojirudia rudia kwenye comments/likes. Pia kuna majina watakuwa wanaitana hasa kama ni wakike. Utapata njia

Anza kuwafuatilia mmoja mmoja uhusiano wao na mlengwa wako, hapa kumbuka wanaweza wasiwe ndugu zake ila wakawa rafiki wa ndugu zake hivyo uwe makini, ukifika mahali pa kujiridhisha mtafute mmoja inbox msalimie tu na story za kawaida.

Ni kazi ngumu kidogo ila kila la kheri.

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Nashkuru kwa msaada wako ila facebook hatumii
Insta nimechek lkn sjapata data

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom