Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

Joined
Oct 12, 2014
Posts
78
Reaction score
48
Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
 
Godoro bora ni lenye kuanzia density 28 kurudi chini bila kujali kampuni, ukitaka godoro original la vita na usiwe na mashaka nenda showroom kwao posta
 
Hiyo density unaitambuaje?, au kuna sehemu wanaandika juu ya godoro?
 
Wanaandika kwenye nylon ile ya juu, japokuwa kuna makampuni kanjanja saiv hawaweki, unakuta mtu unanunua godoro 12" miezi mitatu tu lishaweka shimo kati
 
Ohoooo TBS wapo likizo huku undendeule wanakunywa ulanzi tu,why kuwe na vitu fake?,eti unaulizwa unataka panadol ya wapi?
 
Godoro bora ni lenye kuanzia density 28 kurudi chini bila kujali kampuni, ukitaka godoro original la vita na usiwe na mashaka nenda showroom kwao posta

Hiyo density unaitambuaje?, au kuna sehemu wanaandika juu ya godoro?

Wanaandika kwenye nylon ile ya juu, japokuwa kuna makampuni kanjanja saiv hawaweki, unakuta mtu unanunua godoro 12" miezi mitatu tu lishaweka shimo kati
Pitia hapa mkuu Erythrocyte.
 
Back
Top Bottom