Nawezaje kujua kampuni fulani ni halali au ya kitapeli?

Nawezaje kujua kampuni fulani ni halali au ya kitapeli?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumsaidia mbongo na kumuondoa kwenye mtego wa kutapeliwa ni kazi sana ndugu,yaani ni bora atapeliwe na mchina au Muhindi kuliko kukupa dili wewe.
Kuna jamaa mmoja bhana alitaka kutapeliwa na wahindi kwa kuagiza product ya 70m,sasa akapewa invoice fake lakini ilikuwa bahati yake kabla hajalipia akanicheki nikamuonesha mitego yote akanielewa kisha nikamwambia usiagize online kwenye kampuni usizozijua kama vipi nipe hiyo kazi nikusimamie mguu kwa mguu,lakini nikaona jamaa moyo wake unakuwa mzito kama haniamini ndio kwanza ananiambia nikamfanyie connection kwenye maeneo yaleyale ambayo amenusurika kuibiwa basi baada ya hapo nikaachana naye.

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Hakuamini kisa ni mbongo,,,,,yaani mbongo mpaka alizwe ndo vichwa vinatuliaga hivihivi ujuaji unakuwaga mwingi sana
 
Hizo reviews na comments zinanunuliwa pia, kwahiyo sio kigezo!
Na kwa siku hizi wauzaji hutumia AI maalum kuweka comment na reviews, website kama amazon wanajitajidi kukabiliana na kuondoa uhuni wa aina hii.
 
Wasiliana na Tanzua Express wanaweza kukusaidia kukununulia bidhaa kutoka kiwandani China na kusafirisha hadi Tanzania.

Wewe kazi yako ni kwenda kuchukua mzigo kwako ila mengine wao ndo wanashungulikia.

Wafatute instagram
Mkuu nimekucheki PM kimya
 
Back
Top Bottom