Nawezaje kujua kampuni fulani ni halali au ya kitapeli?

Hakuamini kisa ni mbongo,,,,,yaani mbongo mpaka alizwe ndo vichwa vinatuliaga hivihivi ujuaji unakuwaga mwingi sana
 
Hizo reviews na comments zinanunuliwa pia, kwahiyo sio kigezo!
Na kwa siku hizi wauzaji hutumia AI maalum kuweka comment na reviews, website kama amazon wanajitajidi kukabiliana na kuondoa uhuni wa aina hii.
 
Wasiliana na Tanzua Express wanaweza kukusaidia kukununulia bidhaa kutoka kiwandani China na kusafirisha hadi Tanzania.

Wewe kazi yako ni kwenda kuchukua mzigo kwako ila mengine wao ndo wanashungulikia.

Wafatute instagram
Mkuu nimekucheki PM kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…