Yapo yanayozama lakini ukilivunja unakuta kiini kinasambaa kabla hujakoroga
Unalivunja vibaya mkuu. So kiini unakipasua ndio maana kinachanganyikaYapo yanayozama lakini ukilivunja unakuta kiini kinasambaa kabla hujakoroga
Kama ni la kienyeji, weka maji kwenye chombo halafu weka yai lako. Likielea, yaani kuonekana jepesi basi limeharibika au kuku alianza kuatamia halifaiUnakuta unavunja yai na kile kiini cha njano kinasambaa na kuchanganyikana na ute hata kabla hujalikoroga. Hili yai bado zima?.
Nawezaje kujua yai limeharibika au la?