Nawezaje kukwepa deni kwenye account Yangu.?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Nilikopa boom advance bhana, Sasa hili boom ndio la mwisho na hela ikiingia tu kwenye account inakatwa automatically na system

Wazee wa IT nitumie njia gani kukwepa deni hili ??
 
chukua sumu iweke kwenye maji koroga tia kwenye heater ikichemka pakia kwenye kikombe kunywa kuta ×2
 
Huwa wanasahau wakati mwingine, Mimi mwaka Jana mwanangu lilipoingia walichelewa kukuata akalitoa lote .

Ila wizi ni dhambi dawa ya deni kulipa.
 
Dah sawa muda wa kujua
Huwa wanasahau wakati mwingine, Mimi mwaka Jana mwanangu lilipoingia walichelewa kukuata akalitoa lote .

Ila wizi ni dhambi dawa ya deni kulipa.
sasa
Ahsante Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…