Angalia rate ya bank ni ngapi ? Ingawa kiukweli nyingi si rate nzuri otherwise uwe unatuma Yuan chache.
Niko China, naweza kukusaidia maAgent wa kuexchange, wao wanafanya kwa wewe kutoa hela huko bongo kwa watu wako na wao kumlipa supplier wako huku. Na suala la usalama halina shida maana unakutanishwa na mtu huko bongo ndo utume pesa zako kwa ajili ya exchange.