Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??

Polisi watachukua pesa yako, wanamkamata mwizi nae wanachukua chao halafu watakuzunguusha hadi uache kwenda. Wahuni sana katika hizo ishu siku hizi, achana nao utawapa polisi dili
 
Simu yako inasnitch kila inapokuwa hewani inalia here is my number my imei ni hii hapa nipo sehemu flani kuna mnara unanisikia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] minara itapokea kilio cha simu yako ila uliokaribu ndio utasema nimekusikia ntakuhudumia sasa katika hiyo minara mingine ndio zinapigwa hesabu za triangulation zina pin point ulipo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana lakini police wa bongo wanazingua kwenye hi issue
watakupiga hela.

But kuna uwezekano wa ku change imei number hasa kariakoo

Sometime simu za michongo huwa tunauza spare tu so uwezi kuipata
 
Back
Top Bottom