Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Inawezekana kwa 100% we upo mkoa gani kwanza,Kuna mtu nikuunganishe nae,Habarini magreat thinkers
Nawezaje kumkamata mwizi wa simu yangu kwa kutumia IMEI number??
Niunganishe mkuu, nimpatie zawadi nono.Inawezekana kwa 100% we upo mkoa gani kwanza,Kuna mtu nikuunganishe nae,
Simu Ni ya aina gani pia