Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,677 Reaction score 3,174 May 21, 2025 #21 Kuwa na mahusiano na hiyo Jinsia inatakiwa uangalie sana Maslai na usalama wako kuliko Sex zaidi na ukiwa na naye ni sawa na kuwa na Pasi ambayo Wire(Mwanamke) umechubuka ukijisahau tuu unakupiga Shot
Kuwa na mahusiano na hiyo Jinsia inatakiwa uangalie sana Maslai na usalama wako kuliko Sex zaidi na ukiwa na naye ni sawa na kuwa na Pasi ambayo Wire(Mwanamke) umechubuka ukijisahau tuu unakupiga Shot
third eye chakra JF-Expert Member Joined Dec 27, 2023 Posts 918 Reaction score 2,160 May 21, 2025 #22 Achilia mkuu na usamehe yote,sababu nikwamba havidumu nawe daima. Jipende jithamini na jipe heshma binafsi. #YATOSHA#
Achilia mkuu na usamehe yote,sababu nikwamba havidumu nawe daima. Jipende jithamini na jipe heshma binafsi. #YATOSHA#
D Deleted01 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2018 Posts 3,886 Reaction score 9,027 May 21, 2025 #23 KUKU MAJI said: Amekula sana hela zangu. Amepoteza muda wangu Ameniharibia network na baadhi ya watu, Amenitukana sana na kunidharirisha Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu... Na yeye dharau haziishi na maneno ya kuniumiza. Click to expand... Mnawapataga wapi kama hao wakuu??
KUKU MAJI said: Amekula sana hela zangu. Amepoteza muda wangu Ameniharibia network na baadhi ya watu, Amenitukana sana na kunidharirisha Wazazi wake wote wananipa maneno mabaya juu yangu... Na yeye dharau haziishi na maneno ya kuniumiza. Click to expand... Mnawapataga wapi kama hao wakuu??
A anasbo JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 5,150 Reaction score 9,622 May 21, 2025 #24 mvizie MLE MIX BY YAS, pozi zote zitamwisha
Mr Pixel3a JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 7,107 Reaction score 10,609 May 21, 2025 #25 Mlundilwa Jr said: Mwanamke akikupenda atakuheshimu.... Click to expand... π π π