Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

Dakxir

Member
Joined
Jan 20, 2018
Posts
44
Reaction score
97
Habar zenu wanna jamiiforums kher ya mwaka mpya.

Naomba msaada wa kuweza kuacha kumwaza na kumkumbuka yule ambaye bado nampenda sanaaa. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye kwakweli haijawah isha siku nisimkumbuke. Namuwaza mpaka mda mwingine nahisi bado nipo naye karibu yangu na imepelekea pia nikimwona bint ghafla nahisi Kam nimemwona yeye.

Ni kiumbe kilichojaa kwenye maisha yangu ya hisia mpaka akili..nimejitahid kujiweka busy na kazi mzoezi maji mengi lakin wapi. Tulipotengana kwa sababu za kidni juu ya wazazi wake kukaidi kuliko kukuu na walisema hawez bint yetu akaolewa dar na sisi nduguze wote tupo kigoma.

Yani vipingamizi vilikuwa vingi mnoo ilifika hatua yule bint alitoroka kwao kigoma na kuja dar mwishoe wakanipa kesi nimemtorosha mtoto wao..na nilishwahi funga safari dar~kigoma na wazaz wangu kwa ajir ya kutoa posa lakin walichokifanya ndugu zangu ni hatar sanaaa.

Namshukuru MUNGU tulirudi salama mengi ya kuyasema ila bado namkumbuka sanaaa na mwaka unaisha tokea nimepata hayo madhira.bado nampenda na namkumbuka sanaa.

Msaada ndugu zangu.
 
Uliunganisha nae nafsi sababu mlifanya ngono.
Itakuchukua mda hali hii kupita then utazoea tu na kujiona kumbe ni ilikuwa ni ujinga TU.
Wala sikuwahi kuzini naye japo aliw
Hv Kuna watu Bado mnapenda tu ktk haya maishaa [emoji15]
Upendo ni tunu amabayo hakuna kiumbe kinajua ukweli was nini kupenda..upendo hauna utabiri
 
Wala sikuwahi kuzini naye japo aliw

Upendo ni tunu amabayo hakuna kiumbe kinajua ukweli was nini kupenda..upendo hauna utabiri
Huwezi ungana nafsi bila kuzini na mtu.
Tafuta mabaya yake Kisha yape nguvu mawazoni mwako ili umsahau
 
Back
Top Bottom