Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

Nawezaje kumsahau niliyempenda sana?

We umekuja duniani kulialia mapenzi

Ova
 
Habar zenu wanna jamiiforums kher ya mwaka mpya.

Naomba msaada wa kuweza kuacha kumwaza na kumkumbuka yule ambaye bado nampenda sanaaa. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye kwakweli haijawah isha siku nisimkumbuke. Namuwaza mpaka mda mwingine nahisi bado nipo naye karibu yangu na imepelekea pia nikimwona bint ghafla nahisi Kam nimemwona yeye.

Ni kiumbe kilichojaa kwenye maisha yangu ya hisia mpaka akili..nimejitahid kujiweka busy na kazi mzoezi maji mengi lakin wapi. Tulipotengana kwa sababu za kidni juu ya wazazi wake kukaidi kuliko kukuu na walisema hawez bint yetu akaolewa dar na sisi nduguze wote tupo kigoma.

Yani vipingamizi vilikuwa vingi mnoo ilifika hatua yule bint alitoroka kwao kigoma na kuja dar mwishoe wakanipa kesi nimemtorosha mtoto wao..na nilishwahi funga safari dar~kigoma na wazaz wangu kwa ajir ya kutoa posa lakin walichokifanya ndugu zangu ni hatar sanaaa.

Namshukuru MUNGU tulirudi salama mengi ya kuyasema ila bado namkumbuka sanaaa na mwaka unaisha tokea nimepata hayo madhira.bado nampenda na namkumbuka sanaa.

Msaada ndugu zangu.
Kwani kumkumbuka mtu ni vibaya? Wewe ISHI, acha mambo mengine yaende yenyewe. unajilazimishaje kumsahau mtu ambaye not ur part anymore?
 
Habar zenu wanna jamiiforums kher ya mwaka mpya.

Naomba msaada wa kuweza kuacha kumwaza na kumkumbuka yule ambaye bado nampenda sanaaa. Nilikuwa na mahusiano na binti ambaye kwakweli haijawah isha siku nisimkumbuke. Namuwaza mpaka mda mwingine nahisi bado nipo naye karibu yangu na imepelekea pia nikimwona bint ghafla nahisi Kam nimemwona yeye.

Ni kiumbe kilichojaa kwenye maisha yangu ya hisia mpaka akili..nimejitahid kujiweka busy na kazi mzoezi maji mengi lakin wapi. Tulipotengana kwa sababu za kidni juu ya wazazi wake kukaidi kuliko kukuu na walisema hawez bint yetu akaolewa dar na sisi nduguze wote tupo kigoma.

Yani vipingamizi vilikuwa vingi mnoo ilifika hatua yule bint alitoroka kwao kigoma na kuja dar mwishoe wakanipa kesi nimemtorosha mtoto wao..na nilishwahi funga safari dar~kigoma na wazaz wangu kwa ajir ya kutoa posa lakin walichokifanya ndugu zangu ni hatar sanaaa.

Namshukuru MUNGU tulirudi salama mengi ya kuyasema ila bado namkumbuka sanaaa na mwaka unaisha tokea nimepata hayo madhira.bado nampenda na namkumbuka sanaa.

Msaada ndugu zangu.
Mkuu shabikia timu zinazoshinda kila siku na zinazoongoza ligi kwenye nchi zao mfano Liverpool(England), Intermilan(Italy), PSG(France), Bayer 04 Leverkusen(Germany), Realmadrid(Spain), Royale Union Saint Gilloise(Belgium) na Yanga(Tanzania) utamsahau huyo dem mda si mrefu.
 
Back
Top Bottom