Nawezaje kumtambua binti wa kitanga?

Msaada tutani wakuu.

Nawezaje kujua kama huyu ndiye au siye? Je wana alama yoyote kama wamakonde au?

Naomba niachwe kwanza nisihojiwe kwa sasa nipo kwenye uchunguzi maalum.

Tafadhali vijana wa hovyo msinambie nikamwulize mwakinyo.🤣
,
Kwa kumuuliza
 
Mapishi
 
Wanapenda mambo ya kujipulizia uban udi na marash makal wao mapenzi Kwa sana kazi Aaah

Sijui kwann ni wafupi halafu kupenda kujichubua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…