Kwahiyo nyie watoto wa siku hizi mkitaka kumwacha demu mnaomba ridhaa yake, akigoma mnaomba ushauri huku duniani !!! Stupid kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui hata km wanasomeshwa Communication Skill au alifaulu Kiswahili1.Bila shaka hamjaanza kujifunza uandishi wa insha shuleni kwenu.
2. Kujihusisha na mapenzi shuleni ni kucheza kamali.
Unaweza kuishia njiani na kukatiza ndoto zako kabisa.
Watoto wa sikuhizi jeuri sana, wanaziheshimu simu za mkononi na tv kuliko wakubwa wanaowalea, stupid kabisaππππ
Muwafundishe jamani siunajua jando na unyago iliwasaidia mababu(na mabibi) halafu mababu wakawasaidia nyie kwa njia ya simulizi, nanyi zamu yenu kwa kutumia mitandao, lakini hamuitendei haki. Kizazi kinaangamia hiki.