Kind JF-Expert Member Joined Oct 29, 2011 Posts 247 Reaction score 40 May 26, 2014 #1 Mara nyingi nimekua nafuatilia sana ununuzi wa bidhaa online mfano tv, laptop, phone na zinaoneshwa free shipping lakini ukitaka kuinunua wanasema hawawezi kuship kuja tz wanaship ndani ya US. Naomba mnisaidie nifanyeje waweze nitumia mpaka Tz
Mara nyingi nimekua nafuatilia sana ununuzi wa bidhaa online mfano tv, laptop, phone na zinaoneshwa free shipping lakini ukitaka kuinunua wanasema hawawezi kuship kuja tz wanaship ndani ya US. Naomba mnisaidie nifanyeje waweze nitumia mpaka Tz
autorun255 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,105 Reaction score 364 May 26, 2014 #2 Hapa tz inategemea na muuzaji kama anatoa huduma ya kukuletea bidhaa hadi ulipo. Kwa dar inawezekana ila kwa mikoani ni walakini. Nadhan wapo .
Hapa tz inategemea na muuzaji kama anatoa huduma ya kukuletea bidhaa hadi ulipo. Kwa dar inawezekana ila kwa mikoani ni walakini. Nadhan wapo .
MIAMIA. JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 210 Reaction score 82 May 27, 2014 #3 nunua hapahapa kama vp.unaletewa hadi hm.mm siku hz ctak usumbufu kila kitu nanunua kupitia tz.kaymu.com jaribu kununua kitu kidogo tu uexperience
nunua hapahapa kama vp.unaletewa hadi hm.mm siku hz ctak usumbufu kila kitu nanunua kupitia tz.kaymu.com jaribu kununua kitu kidogo tu uexperience