Nawezaje kununua bidhaa online na kutumiwa mpaka mkoani pangu?

Nawezaje kununua bidhaa online na kutumiwa mpaka mkoani pangu?

Kind

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
247
Reaction score
40
Mara nyingi nimekua nafuatilia sana ununuzi wa bidhaa online mfano tv, laptop, phone na zinaoneshwa free shipping lakini ukitaka kuinunua wanasema hawawezi kuship kuja tz wanaship ndani ya US. Naomba mnisaidie nifanyeje waweze nitumia mpaka Tz
 
Hapa tz inategemea na muuzaji kama anatoa huduma ya kukuletea bidhaa hadi ulipo.

Kwa dar inawezekana ila kwa mikoani ni walakini.
Nadhan wapo .
 
nunua hapahapa kama vp.unaletewa hadi hm.mm siku hz ctak usumbufu kila kitu nanunua kupitia tz.kaymu.com jaribu kununua kitu kidogo tu uexperience
 
Back
Top Bottom